Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Ntawapa mrejesho wakuu,,vabao na ngumi za hapa na pale zimenifanya asira iishe sasa navuta pumzi hapa nimsikilize maana ameomba nimsikilize nisimpige ntamuuwa na amesema atasema yote yalio tokea na kwann karud home saa sita usiku na kunidamganya yupo home anaangalia tamthilia,

Sasa nasubir amalize kulia hapa nimsikilize isije kuwa namwonea bure,ntawapa mrejesho
Wee unavo chepuka siku akikukamata, nae akufanye nini?
 
Saa sita usiku
Eh! Mungu ni Mwema... kwahiyo karudi salama sio!!

Unajua jinsi dunia ilivyoharibika, ni jambo la kushukuru Mungu kuona wife anafanikiwa kurudi salama nyumbani usiku wote huo bila kudhuriwa na watu wabaya! Nahisi alienda Mbagala manake siku hizi kuna foleni balaa kutokana na ujenzi wa BRT unaoendelea Kilwa Road!

Btw, hivi alimtembelea shangazi au ma'mdogo?!
 
Ushauri wa uwongo sana huu...hapo ni kumuita mchepuko home...wale vitu vyao..wife akirudi na yeye aje tamthilia yake
Mwanamke akishaamua kuchepuka HUWEZ zuia asiliwe, na kwa ujasili huo hajaanza leo.

Apo unatakiwa umnase READY HANDLED afu ufanye maamuz ya kiume.
 
Mkuu apeleleze nini na mke yupo hom anacheki move?
Mbona kama ni ushahidi tosha
Kulalamika lalamika TU mwenzio kachepuka bila ushahidi wa lini,wapi na kachepuka na Nani Inakua Ni KAZI bure.

Ata ukiwaeleza watu unaonekana unamsingizia au wivu Wako Tu unaleta stories za SHABAN ROBERT- KUSADIKIKA.

Unatakiwa ukishamgundua unampiga PUNCH ZA FACT ZA MAANA,
Kias kwamba anajistukia na anajiona Yuko uchi wa mnyama.

Na Kama mwanaume unahisi hisu, wataendelea kuchepuka wakiamini bado huwajui, na hujui chochote khs nyendo zao.

Maana wanaona accusation zako ziko too general, unabahatisha bahatisha tu kwa wivu wao.

WANAUME WENGI TUNAFELI sana HAPA KWENYE KUVUMILIA KUKUSANYA USHAHIDI.
 
Umekosea sana kumpiga. We ungekaa kimya tu no sex asubuh acha ela mezan ondoka akikuuliza kitu jibu kwa mkato keep busy na mambo yako kama hakuna kilicho tokea ungemuona anaomba samahani mwenyewe
Jamaa keshaharibu uchunguz,
next time Atachukua tahadhar Sana na atabadili mbinu hatoweza kumkamata tena.

Jamaa alitakiwa kuplay FOOL kwa mda, ili mwanamke azidi kujisahau aone ndo opportunity.

Afu Next time jamaa anaaga anasafiri kama kawaida, kisha anabak pale pale mtaani anajibana sehem.

Akitoka kwenda appointment anamfata nyuma KIMYA KIMYA anamnasa eneo la tukio ready handled.

Tatizo la mwanamke anapokua anachepuka, Mwanaume mhusika ndo huwa na control kwa uyo mwanamke.

Usipomfahamu jamaa anayechepuka Naye ukadeal Naye perpendicular, Hakuna namna unavyoweza mstopisha mwanamke.

Utachimba Sana biti kwa mkeo,
ila jamaa akimchekecha TU kidogo, she will risk anything ili mradi akaonane na jamaa.

Maana mwanamke tayar hisia keshazihamishia kwa jamaa, Na halina chochote Unaweza fanya akakuelewa.

Hii michezo haitakagi hasira kabisa mkuu
 
Ya kuhisi unagongewa wakati na wewe mgongaji balaa

Nilichogundua mtu ukiwa mgongaji, ukigundua unagongewa inaku confuse sana na inakua ngumu kufanya maamuzi magumu kama ambavyo ungefanya endapo ungekua malaika.
Mara nyingi utakua una feel guilty na hii itapelekea kupunguza ukali wa adhabu ambayo ungepaswa kuitoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom