Leo nafurahi kwa kuwa mwanachama hai wa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo nafurahi kwa kuwa mwanachama hai wa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jan 24, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  WanaJF wenzangu leo ninafuraha sana baada ya kuwa msindikizaji na mwanaharakati wa chama cha Chadema baada yazikubali sera zake kwa muda mrefu, hatimaye leo nimekwenda ofisi za Chadema mkoa hapa Arusha na kununua kadi ya uanachama wa chama cha Chademokrasia na maendeleo, nmefuatilia kwa kirefu sana wananchi wenzangu wanakua niwasindikizaji tu wa sera za chama fulani huku hata kujiandikisha hata kwenye daftari la kudumu hawajajiandikisha halafu siku ya kupiga kura unakuta mtu anajinyima haki yake ya kimsingi ya kupiga kura na kumchagua kiongozi amtakaye. hatimaye leo nimejipa haki yangu ya kimsingi ya kuchagua chama cha Demokrasia na mendeleo kua ndio chama changu na ninaamini mageuzi ndani ya nnchi hii yataletwa na Chadema. Alunta Continue.:peace:
   
 2. a

  arasululu Senior Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ongera mkuu kwa kuchukua hatua. karibu kundini na vitani maana nvo nivita umetangaza dhidi ya ufisadi usikate tamaa ni kukomaa
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera mpiganaji..mpaka kieleweke!
   
 4. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Karibu ustaadh
   
 5. dazenp

  dazenp Senior Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hongera sana.................................:car:
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hongera sana,karibu kundini.
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Asante sana na wenye wivu wajinyonge! Miaka hii mitano mpaka kieleweke!:grouphug: together as one!
   
 8. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mapambano yanaendelea jamani shime tuzidi kujiunga na chama, pia tujiandae kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014, na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
   
 9. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  hongera sana, na kribu kwenye kondoo ili ushirikiane nao kuikomboa hii nchi kutoka kwa makabulu
   
 10. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mwendo mdundo. siku moja pia kina zomba na malaria sugu wataingia pia! pia ukisoma kule kule nyuma upande wa kibluu utaona kuwa ni jukumu lako kujitahidi kuingiza wanachama wengine na uwahamasishe pia kufanya hivyo!

  kama walip[iga kura ni milioni 2.5, wote wakiwa wanachama, halafu wakaingiza kila mmoja mtu mmoja ni milioni 5, hawa wakifanya raundi nyingine ni milioni kumi! unasemaje hapo?
   
Loading...