Leo naenda kuperuzi hiyo simu, liwalo na liwe

Nyie wachache wenye Tabia hiyo msiwajumlishe wenzenu

Huwa mnashangaza na hicho kigezo Cha mahitaji yote.

Kwa hiyo kwa kuwa mwanamke Ana uhakika wa kula kulala n.k. Basi atulie tu? Alifuata hivyo? Kabla yako hayo mahitaji hakuwa anayapata hata Kama si kwa kiasi unachompa wewe?

Nadhani mkitaka wanawake wa hivyo ni wale wanaodanga, wapo after money na Mambo yao yaende mengine hawajali.

Ila wanawake wanaojua umuhimu na maana ya ndoa na wanawapenda kwa dhati hawawezi kukaa kimya mwanaume unapokosea
Basi mturuhusu kuongeza mke 😊
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda
 
Siku simu yangu ikichunguzwa nimekwishaaa....ila inapassword ambazo hata mimi nazisahau
Ahahaaaaaaaaaaaaa.....! Wewe kiboko. Nilikutana na dogo simu yenyewe ina pin,kwenye sms kuna pin,kwenye call kuna pin,kwenye kila sms ukifungua unakutana na pin,kwenye pin pale kuna pin. Nikabaki tu kuduwaaa...hiiiiiiiiiiii
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda
Hongera
 
Utakuta nimesha futa sms, mms na makando mengine yote.
On top of that, utakuta nimesha badili nywila tayari.
And for emergency, nitam block yule alafu nafuta namba yake kwenye phone book. Kisha ukiondoka nitaichukua namba yake kwenye block list
Duuuh...! Watu mna mimbinu
 
Wengine tunaaandika tu majina ya magari ,no za usajili mara tza,mara yutong mara engine 365,vyovyote tu mradi una kaupenyo kuchomoa ukidakwa
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda

aisee afadhari nilipoona post yako ya mwanzo nilihisi unaweza kuharibu zaidi ktk reactions zako hongera.
be calm, be articulate and focused utashinda taratibu hiyo inshu angalizo wote wanakuobserve......the matter is reactions...atakayeleta ape shit analose hiyo battle mapema.....
 
Andaa pain killer kabisa ..pamoja na vidonge vya usingizi

Usisahau kuandaa na pombe /energy drinks
Pain killer na vidonge vya usingizi hakika ni muhimu.
Tusubiri mrejesho. Asisahau picha ya manundu.
 
Back
Top Bottom