Leo naelekeza lawama kwa vyombo vya habari katika kuripoti majanga mbalimbali yanayojitokeza

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,181
5,289
Mimi kama Mtanzania ninalahumu media za bongo kwa kuwa na double standards hasa linapokuja suala la kuhabarisha umma juu ya matukio ya muhimu.

Mfano mzuri ni juzi limetokea tetemeko lenye ukubwa wa licha skeli 4.7 mkoani mara hili halikuwa suala la kupotezewa kabisa kisa limetokea upande fulani wa nchi hivyo alikupaswa kupata attention ya vyombo vya habari.

Hapa nawaza tu je, kama lingetokea Dar es salaam au Dodoma pia msingetangaza? Au kulipa headlines kwenye magazeti,televisheni na redio zenu? Au ni kwasababu waliokumbwa na janga ni akina Mara, Simiyu, Katavi nakadhalika kwahiyo haina inshu.

Masuala kama haya yahusuyo natural calamities mfano wa volcanic activity hayapaswi kufumbiwa macho na pia ni haki ya raia kujua kinachoendelea katika mazingira yao hasa pale jambo lenyewe linapoweza kuhatarisha maisha au kuleta taharuki katika jamii.

Mwisho media za Tanzania zibadilike habari si udaku tu na siasa hata majanga pia ni habari yawe yameleta madhara au la, kikubwa habari ikitolewa inaweza vutia hata attention ya wataalamu kuanza kuchunguza kuwa chanzo ni nini hasa maana si mara ya kwanza kwa kanda ya ziwa kukumbwa na tatizo hili siku za hivi karibuni.
 
Janga lenyewe si ndio C19 mkuu au kina mengine?
 
Umesema vyema,ila tunatakiwa kutaadhalishwa na vyombo husika kabla,wanasema Serikali Ina mkono mrefu,kumbe chini ya ardhi haufiki.Ingekua unafika taadhali zingetolewa kabla ya kutokea hilo tetemeko la ardhi
 
Hivi mamlaka zetu zinatecnologia ya kubaini kama kutatokea tetemeko na kutoa onyo kabla?

wanahabari wetu ni sehemu ya tatizo, wangelipa antetion hili jambo labda hata serekali ingeanza kuangalia upande huo na kipi kifanyike wakati ujao"

Hata sasa tunaona sintofahamu inayoondelea kuhusu afya ya raisi wetu japo waziri mkuu amesema rais anaafya nzuri na anachapa kazi lakini bado utata mitandaoni upo.

Hii ilikuwa ni nafasi ya wanahabari kuhoji wahusika mbalimbali na kuja na full package na hata watoe elimu kama kuna sheria inayowataka wananchi kujua kiongozi wao yupo wapi. (Ipo au haipo?)

Hawa wanahabari wetu ndo maana wengine wamepewa majina ya "njaa"
Wamekuwa wapiga tarumbeta tuu, habari za upande wa 2/matatizo, ni kama hayawahusu na kwao sio habari!!
 
Back
Top Bottom