Leo Mzee Moses Nnauye ametimiza miaka 12 toka afariki R.I.P


kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
1,926
Likes
635
Points
280
kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
1,926 635 280
Imepita miaka 12 sasa toka alipofariki mmoja kati ya wazalendo wa nchi hii. Mzee Moses Nnauye, Mimi kama mwananchi wa nchi hii nitaendelea kukuenzi na kuyaishi yote uliyoyasisitiza hasa kuishi katika Uzalendo na mapenzi ya dhati kwa nchi yangu.

PUMZIKA KWA AMANI MZEE MOSES NNAUYE. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 

Forum statistics

Threads 1,263,608
Members 485,990
Posts 30,157,886