Leo mpo wapi.....?

Mie nko vila park naenjoy mziki live ikifika mida ya sa6 ntaingia kiss club kuruka debe...karibu Preta
 
Last edited by a moderator:
Mie nko vila park naenjoy mziki live ikifika mida ya sa6 ntaingia kiss club kuruka debe...karibu Preta

asante mwaya.....mi hapa naelekea 3A kuruka majoka.....najisikia kushake sana leo.....
 
Last edited by a moderator:
Aseee nimekumis chuga,vp kuna baridi? Ngoja nile bata za mwisho mwanza kesho nigeuze lol
asante mwaya.....mi hapa naelekea 3A kuruka majoka.....najisikia kushake sana leo.....
 
Karibia hapa nilipo ndani ya NAROK PUB na bila shaka utanikuta,Si unapajua lakini?

mkuu hapo nitakuja kwenye saa kumi na moja kasoro asubuhi.....siko mbali sana na hapo.....supu si itakuwa tayari......?
 
Aseee nimekumis chuga,vp kuna baridi? Ngoja nile bata za mwisho mwanza kesho nigeuze lol

hakuna baridi wala nini....njoo bana.....kuna kiwanja kipya kinafunguliwa Moshono ujue.....
 
Nimetokea brajec mikochen...naingia home kulalaa.. Enjoy ur night wapendwa!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom