asante mwaya.....mi hapa naelekea 3A kuruka majoka.....najisikia kushake sana leo.....
Au Jumamosi hamtoki.....? mmekuja kuwaje bana.....?
duh..yaani unageuka tu...,kulala la kairo,kwitima au sparow? ...hahahaMie nko vila park naenjoy mziki live ikifika mida ya sa6 ntaingia kiss club kuruka debe...karibu Preta
duh..yaani unageuka tu...,kulala la kairo,kwitima au sparow? ...hahaha
hakuna baridi wala nini....njoo bana.....kuna kiwanja kipya kinafunguliwa Moshono ujue.....
Nimetokea brajec mikochen...naingia home kulalaa.. Enjoy ur night wapendwa!
...mia...Savvana lounge. Ben Mkapa tower.. Full bata ryt now. Nshajenga mie.