Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

We acha kabisa , ,mie wameniweza kwenye jollof rice tuu

Nimepika jana 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_2854.JPG
leo wamemalizia nimebakishiwa ukoko 🤣🤣🤣
 
Huwa nakichukia chakula chakupika hata mke wangu kwa sababu ya mafuta mengi ,hawa viumbe hata uwaelekeze vipi hawaelewagi.
 
Back
Top Bottom