Leo kwenye kupitisha bajeti kuu

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Habari wakuu..


Hakuna asiyefaham au kusikia vilio kila kona kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, vijana hawapewi ajira. Yani ni pigo kona.


Vipi tunaweza kutegemea mambo mapya ya ahueni katika bajeti kuu ya 2017/2018?

Au ndio tutaendelea kusulubiwa kwa msumari wa moto..
 
Hii bajeti ni msumari mwingine kwenye jeneza la mtanzania. Nina uhakika hii bajeti haiwezi kumsaidia mtanzania zaidi ya kuendelea kumnyonya.
 
Hivi kweli bajeti iliyoandaliwa na Daudi Albert Bashite inaweza kuleta unafuu wowote kwa wananchi?
 
Haweai kupanua hawa hawana hela, sie tuendelee kutamani tu, maendeleo tuyaone nchi za watu wenye mipango..Unazindua fly overs kwa mbwebwe kumbe huna hela mpaka leo kimya, reli unapayuka ni nchi ya kwanza kujenga kwa fedha za ndani haijaanza unamkaribisha zuma unamuomba hela za reli, ?!! sisi tutamani tu acha wengine wapanuke.
 
Back
Top Bottom