Leo kuzimwa kwa mgomo mnalichukuliaje Wana Jfs wenzangu...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Mi nikijaribu kuangalia maisha yalivyo magumu kila kitu a ghali shilingi nayo kupata ni shida halafu mweshimiwa ndio hivyo ameshapiga bonge la bit kwa yeyote atakayegoma kazi hakuna na viongozi wetu wa Tucta wameshatuambia tutulie kwa mitazamo ya tarehe nane.Kwa kweli mimi leo niko kimawazo zaidi sijisikii kufanya kazi...thanks kwa jamii forum kuendelea kuwa hewani!wengine mnasemaje...............
 
mbona walishagoma mda sana

asubuhi wakifika wanasoma emaila zao na kujibu (si za kazi)
wanakunywa chai
wanatembelea gpl website wanasoma udaku
wanaenda lunchi
wanarud saa nane toka saa sita na nusu
wanapiga soga huku wakijiandaa kurudi makwao saa tisa na nusu.
siku inaisha
 
Ina maana wanafanya mgomo baridi, (go slow)?
mbona walishagoma mda sana

asubuhi wakifika wanasoma emaila zao na kujibu (si za kazi)
wanakunywa chai
wanatembelea gpl website wanasoma udaku
wanaenda lunchi
wanarud saa nane toka saa sita na nusu
wanapiga soga huku wakijiandaa kurudi makwao saa tisa na nusu.
siku inaisha
 
Unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini sio kunywa maji!Nadhani walimu watakuwa wanafundisha Square root madarasani saa hizi!Halo halo!Si ndo vijembe vyenyewe jamani?

Sipati picha walimu watakapoanza kutmia vijembe wakati wa kufundisha,si wamefundisha na mnene Jk!Nadhani itakuwa hivi;
MWALIMU:Ehee,halo halo,ya pweza,yaani square root,ehee babu ehee,square root kama mbayuwayu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA,Maana naona watu wote wanataka kuwa waimba taarabu
 
Mkuu, hapo umeniacha hoi bin taabani!! nimecheka ki kweli na hasira zote kwishnei!!
 
Ya ngosweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom