Naona tunachomeshwa mahindi tu hapa.
kwa nini umeuliza?We ni ndugu yangu au???
kwa nini umeuliza?
uran saa 11 gani hiyo interview yaanza? Au ya alfajir?
tayari cheki kuna topic imeanzishwa nyingineJamani saa 6 hiyoo
naamini wewe ni dada yangu tulieachana utotoniMajina kaka we huoni aaaarrggh
Uzi wa intavyuu sio huu...upo mwingine spesho
uran saa 11 gani hiyo interview yaanza? Au ya alfajir?
mahojiano yameshaanza kwenye uzi mwingine mpenz.
Naona tunachomeshwa mahindi tu hapa.
tayari cheki kuna topic imeanzishwa nyingine
Kumbeee
mahojiano yameshaanza kwenye uzi mwingine mpenz.