Na picha zao utatuwekea eeee
Angalia avatars...
Angalia avatars...
Mi staki nataka tu picha zenu
Subiri saa 11 ndio unatakiwa uonekane kwa huu uzi
Uzi wa intavyuu sio huu...upo mwingine spesho
VP mjadala umeahirishwa?
Tulishapiga wakati wa zoezi la kujiandikisha vitambulisho vya taifa, hizo zitafaa?