ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
tupo south kwa madiba mkuu.Halloo MMU fans,
Naomba kuchukua time hii kuwajulisha,
leo jioni kuanzia saa kumi na moja tutakuwa na interview hapa
jamvini.
Naomba nisiwape topic kwa wakati huu kwani inaweza kuvuja
mapema.
Wageni wetu leo ni wawili wa nguvu
1. watu8
2. Heaven on Earth...
Nawakaribisha sana.
Uran..
CC; shansarie, Nambe,
Last edited by a moderator: