Leo kuna mvua nyingi

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wadau, asubuhi hii kunamvuanyingi maeneo ya Kata za Pugu, Kitunda, Kipawa, Ukonga na gongolamboto, sijui maeneo ya katikati ya jiji yakoje. Natoa tahadhari kwa madereza wa magari kuwa waangarifu kwani naona magari yanakosa njia. Nimeshuhudia gari aina na Suzuki nyeupe imaanguka kwenye mtaro-ukonga kilimani. Tupeane update. Ciao.
 
Kichwa cha habari kingependeza sana kama kingesomeka 'Leo kuna mvua kubwa jijini Dar es salaam'
 
MUNGU NI MWINGI WA REHEMA,NA HAKIKA HUU MWAKA INAWEZA IKAWA NDIYO WA BARAKA KWA WATANZANIA,GUNIA MOJA WA MAHINDI NI Ts. 55,000 BILA YA PUNGUZO YOYOTE. MVUA NDIYO MAMBO YOTE.
 
maeneo ya posta kuna manyunyu na kajua sometimes kinachomoza, sijui ndo simba kazaa..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom