leo kulikua na sikukuu gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

leo kulikua na sikukuu gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kabakabana, Aug 8, 2011.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wakulima inayoadhimishwa kila mwaka tarehe nane mwezi wa nane kama leo.Kilichonishangaza ni banda la afya kushinda katika mashindano.Kwanini wakulima wasishindanishwe wao kwa wao?
  Waziri wa kilimo hakuzungumzia chochote kuhusu welfare za wakulima especialy wa pamba rather anaongelea uchumi kuwa umepanda kwani hiyo ni kazi yake?realy nimekua disapointed na sijaelewa umuhimu wa siku ya leo kwa wakulima,sijui wenzangu
   
Loading...