MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Miongoni mwa nchi rafiki na Tanzania Russia na China ni wadau wetu wakaribu sana. Ninapoandika haya najua hata humu kuna wadau wengi tu wenye exposure na Russia ambao wanaweza sema chochote kukosoa, kuboresha hata kupinga kwa fact.
1:Russia ni kubwa kuliko sayari ya Pluto. Russia inaukubwa wa 17MIl KM square wakati Pruto ni 16.6 MIl KM square
2:Karibu kila mrusi anatumia zaidi ya Lita 18 za pombe kwa mwaka.
3.Russia na MArekani point ya karibu sana wanapopakana ni umbali uliochini Kilometer 4.
4:Tarehe 11.06.2013 chini ya Putin Russia ilipisha sheria rasmi kuwa ni kinyume na sheria kuwaambia WATOTO WADOGO kuwa MASHOGA wapo duniani. Hii ni katika harakati za kutokomeza mashoga nchini mwake.
5:ALASKA ilikuwa ni sehemu ya RUSSIA, mwaka 1867 Marekani iliinunua kwa Shilingi za kitanzania 14.3 Billioni. Pesa ambayo baada ya miaka 50ilirudi zaidi ya mara mia yake maana kulikuwa na madini ya dhahabu. Kabla ya hapo kulikuwa na miji ya warusi, wakifanya biashara na wamarekani ya sufi kabla friji haijavumbuliwa. wachina walifika hapo kufanya biashara pia. Lakini waliuza kihalali na ikulu ya marekani ilisaini cheki hiyo baada ya baraka za bunge. Hapa hata sisi tuwe makini na kuuza uza ardhi zetu tusijekujuta baadae kama warusi.
cheque
mkataba wa mauzo.
6:Bia ilikuwa haihesabiki kama kileo bali ni kinywaji baridi tu kama PEPSI au NOVIDA kwa russia hadi mwaka 2013.
7: Miaka ya zamani enzi za Mfalme "Peter The Great" Kulikuwa na Kodi za Ndevu. Mtu mwenye ndevu nyingi ilibidi azilipie kodi kila mwezi.
8:Ni kosa kisheria kuendesha gari ikiwa chafu kwa russia. Ukikamatwa na Traffic unapigwa faini.
9:Inaaminika Russia hasa kipindi cha USSR ilikuwa na Miji ya siri ambayo haipo kwenye ramani ya kawaida ya dunia. Hii ilikuwa miji maalum ya kivita na kimikakati ambayo baadhi imeanza kujulikana hivi karibuni.
10:Matajiri wa kirusi wengi kutokana na foreni moscow hukodi tax maalumu zenye muonekano wa ambulance ili kuwahi maofisini kutokana na foreni kali.
11:Meya wa jiji moja liitwalo MEGION magharibi mwa Siberia 2007 alipiga marufuku kwa wafanya kazi wa serikali KUTOA udhuru (Excuses). Ni marufuku kutamka maneno kama "siwezi, Sijui, Huu ni Muda wa Lunch, Imeshindika, Hakuna pesa etc). Alitoa list ya maneno 27 ambayo kama ukisikika unatamka utaongeza speed na uwezekano wa kufukuzwa kazi. akasema kazi ya watumishi ni kutatua matatizo ya wananchi sio kutoa udhuru au kukwepa.
Alexander Kuzmin.
Jiji la Megion.
12:Russia ina silaha za nyuklia zaidi ya 8400. Hakuna nchi yoyote duniani inayomfikia katika hili.
13: Katika mashindano ya kwenda anga za nje ya dunia kwa kutumia rocket(outer space) ikiwepo na mwezini walikutana na changamoto ya kukusanya data kwa kutumia kalamu pen(ball pen). Russia walifikiri haraka na kutumia penseli kukusanya data. Kutokana na ubishi wa marekani wakaamua kutengeneza PEN (Anti Gravity-7 fisher space pen) iliyogharimu zaidi ya Billioni nne kutengenezwa kwa miaka miwili. Japo kwa mwanzo waliwaiga urusi kutumia penseli ambayo ilighalimu bei ya kawaida ya penseli.
karibuni wadau, Elimu haina mwisho....