darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,700
- 16,853
Kichuri kipo mkuu?Mbavu 14000
Paja 15000
Mguu wa.mbele 10000
Kichuri kipo mkuu?Mbavu 14000
Paja 15000
Mguu wa.mbele 10000
Uwe unasema mapema mimi ni mzee wa loiliondo kila jmosiWakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo
Ntawapa Updates.
Tokeni na Familia zenu
financial services haya toka na mdau wako
Mshana Jr achana na Loliondo na wale ma wako njoo mjini
Updates
Mambo ni super View attachment 1816952View attachment 1816954View attachment 1816955
Kipo mkuuKichuri kipo mkuu?
Karibu Jumatano na jumapili kila weekUwe unasema mapema mimi ni mzee wa loiliondo kila jmosi
Ndiyoo😂Kumbe MBOMBO NGAFU
Je kwa sisi *wanafki' kuna sehemu ya kula huyo mdudu na bia kwenye FARAGHA?Njoo Kuna Bar inaitwa Panama Ipo
Ipo mkuu karibu sanaJe kwa sisi *wanafki' kuna sehemu ya kula huyo mdudu na bia?
Mnada ufanyika kila siku gani?Karibu mkuu kuna minyama kama yoooote ni KIBAMBA CHAMA mbele ya Mbezi Mwisho kama unatokea mjini au mbele ya Mail Moja kama unatokea Moro
Msalato halafu pana mwingine mbele ya Mwanga- Kilimanjaro sijui panaitwaje pale ila Msalato kiboko yao...!Hivi kuna mnada mzuri kama ule wa Dodoma siku za J.mosi hapa Tanzania...?
Nijuavyo me ni kila jumatano
Dodoma ni Jumamosi Chuo cha Mipango kwa mbele
Na jumapiliNijuavyo me ni kila jumatano
Mkuu huwa wanafungua kuanzia saa ngapi?Asubuhi huwa kunapatikana supu?Kisusio kipo?Na jumapili
Asubuhi saa3 mambo tayari kisusio kinapatikana asubuhi maana watu hunywa supu asubuhi. Ni kila jumapili na jumatanoMkuu huwa wanafungua kuanzia saa ngapi?Asubuhi huwa kunapatikana supu?Kisusio kipo?
Shukrani sana mkuu.Asubuhi saa3 mambo tayari kisusio kinapatikana asubuhi maana watu hunywa supu asubuhi. Ni kila jumapili na jumatano
Mkuu nikitokea riverside nishukie kituo gani?Asubuhi saa3 mambo tayari kisusio kinapatikana asubuhi maana watu hunywa supu asubuhi. Ni kila jumapili na jumatano
Panda gari za mbezi, ukifika panda gari za Kibamba shule au Mloganzila unashuka Kibamba Chama/CCMMkuu nikitokea riverside nishukie kituo gani?
Shukrani mkuu,kwa hiyo kesho mnada upo kama kawaida?Panda gari za mbezi, ukifika panda gari za Kibamba shule au Mloganzila unashuka Kibamba Chama/CCM