Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

Sasa mkuu hizo bata ulizokula jana na leo unaendelea si unifowardie nami ata ten nami nikala huku bata mkuu
 
Mkuu, bado mko wazi? Nyama bado ipo mda huu? Natamani kumshtua mdau wangu mpendwa sana tutembee huko sema ratiba kama haziendi poa leo.
 
Back
Top Bottom