LEO JUKWAA LA JOKES LIMESHIBA, TUENDElEE KUFURAHIA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LEO JUKWAA LA JOKES LIMESHIBA, TUENDElEE KUFURAHIA.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa kusoma, Mar 14, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Kusema kweli huwa hili jukwaa pa1 na lile la chitchat yanakuwa matamu wikend. Leo nina stress zangu za kawaida nikaona nizame huku baada ya kusinda kulee kwenye siasa, duh! Sijaamini macho yangu leo jukwaa limejaza thread mpya na tamu kwelikweli mpaka roho yangu imeanza kusuuzika.

  Au wadau nyie mwaonaje? Ngoja niendelee kuperuz majokes.
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umeona eeh.
   
 3. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Tamu kweli kweli.
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata mimi nikiwa na stress huwa naingia jukwaa hili, lazima utacheka tu.
   
 5. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Jf haichoshi mkuu.
   
 6. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  tn mtu unacheka mpk unashangaliwa, mana mi huwa najiachia kwa raha zangu
   
Loading...