Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay.

sasa kaeni tayari leo jioni kwa majira ya IST nashusha free app ambayo itaitwa FREE IPTV
yan kaka unaambiwa hivi ni kitu ngumu sana kuprevent link zisiwe captured maana hata dstv wao wameshindwa kwahyo wanachofanya wanabadlisha link kila baada ya masaa 12 ila kwa azam wao czan kama wataweza ww tuletee links hizo ila czan kama ni vyema kuzimwaga hapa mtu akitaka mtumie inbox
 
nataka nikupinge kuzuia link kuwa captured inawezekana vizuri tuu tena sana kuna simple solutions kufanya hivyo, hata ikiwa captured haitaweza ku_play.
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom