Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay.

sasa kaeni tayari leo jioni kwa majira ya IST nashusha free app ambayo itaitwa FREE IPTV

UPDATE
ZINGATIA: NI MUHIMU UTUMIE VPN UNAPOTUMIA APP HII, ISIPOKUWA KAMA UNATAZAMA CHANNEL ZA STARTIMES TUU NDIO USIWASHE VPN

Install VPN yoyote, ingia play store then tafuta VPN yoyote, install then hakikisha umeiwasha ndipo utumie hiyo app, it will help to hide your real location, unaweza tumia Turbo VPN Turbo VPN- Free VPN Proxy Server & Secure Service - Apps on Google Play

--------

UPDATES
Baada ya maombi ya kuongeza channel nyingine za sports sasa tumeongeza channel za beIN sports 1,2,3, Sony Ten 1,2,3,6, ESPN, Sport Klub 1,2,3,4,5,6,7,8,9 &10, BT Sports 1&2, Fox Sports 1,2,&3. na kunaamini kwa channels hizo hakuna mchezo wowote ambao utakupita.

Pia kwa sababu ya wingi wa channels sasa utaweza kusearch channel kwa kubonyeza search icon iliyopo juu upande wa kulia
-----------
UPDATES

Tumeongeza channel 15 zingine, ambazo ni hizi zifuatazo
Local channel tumeongeza hizi
Star TV
Channel ten
kwa wapenzi wa movies tumeongeza hizi
AMC
Bollywood TV
Movies Now
MNX Movies
Mylife4U
Romedy Now
Reel Px Action
Reel Px Family
Reel Px Comedy
Reel Px Unlimited
Sony Pix
Star Movies
Filmbox
---------
UPDATES

Channel mpya 6 za Sports Zimeongezwa
Sky Sports EPL
Sky Sports Action
Sky Sports F1
Sky Main Event
Sky Sports Mix
Sky Sports Golf
-------------
UPDATES
WAPENZI WA CHANNEL ZA HABARI TUMEONGEZA CHANNEL ZIFUATAZO

BBC NEWS
CNN
ALJAZEERA
BLOOMBERG
mambo mazuri bado yanakuja kwa kuzingatia mapendekezo yenu
------------------

UPDATES
tumeongeza channel za Sports, Movies & Series zifuatazo

Sportdigital
AdSports 1,2,3&4
Fox Classics
Fox Family
Fox Movies
Fox Sports
NBC Sports
SkyNet Sports HD
SkyNet Sports 1,2,3&4
Arena Sports 1,2,3,4 & 5
Premier Football 2

Documentaries & wildlife channel
Nat Geo
CGTN Documentary

update

hakutakuwa na any technical support pia no one will be responsible to do maintenance kwa app hii
Mkuu kwenye hii app ukiongeza itv na clouds utakua umetuinua sana

Its not over until its over...
 
Alikuwa bado anatuvuta,haya sasa wakulungwa inabid mlipie hakuna cha free
Screenshot_2020-04-19-16-20-13.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa gaaan uyo sio Travis Tv uyoo??
No Kuna jamaa alinikera sana kuwa naiba channel na bado sipati faida yoyote hivyo nikaamua kuifuta tu Ila naona yule jamaa mwenye kiherehere aliye wambia azam kuwa wanawaibiwa channel naona kazichukua Channel zote zilizo kuwa kwangu zipo kwenye app yake hivyo hakijaharibika kitu download app yake mtazikuta

Mkuu, ni kusameheana tu. Kuna watu huwa wanaona wivu, hata wanapomuona mwenzake anajisaidia HAJA KUBWA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tengeneza nyingne utupe cc achana na hao wenye roho mbaya za korosho
No Kuna jamaa alinikera sana kuwa naiba channel na bado sipati faida yoyote hivyo nikaamua kuifuta tu Ila naona yule jamaa mwenye kiherehere aliye wambia azam kuwa wanawaibiwa channel naona kazichukua Channel zote zilizo kuwa kwangu zipo kwenye app yake hivyo hakijaharibika kitu download app yake mtazikuta

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudi baada ya kitambo kirefu cha kupotea online, nimeona comments nyingi sana, na nimewasha mitambo tena, nipo napitia mafile ya channels mbalimbali kuona zipi niziweke, japo kwa sasa nimeanza na file la DSTV, litafuata la StarTimes, then BeinSports, BT Sports tutamaliza na file la Sky Sports nipeni two weeks tuu kila burudani itakuwepo ikiwa nitaendelea kupata access ya kuwepo online.

Jioni Njema nyote.
 
Tunaku wait
 
Back
Top Bottom