Leo inaonekana mtandao unafanya kazi vema

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Baada ya wiki mbili sasa, leo mitandai yote inaonekana kufanyabkazi vema. Sijui Kwa wengine mnasemaje?
 
mimi nimeuliza humu mara kadhaa na sijapewa majibu yanayoeleweka.. hivi Ukitumia VPN mb zinatembea zaidi kuliko kutumia internet ya kawaida, kama ni kweli inafanyikaje na kama hakuna utofauti wa ulaji wa mb kuna haja gani sasa ya mimi kuzima VPN na kutumia internet ya kawaida??
 
Back
Top Bottom