Leo ikipita bila Musiba kuhojiwa nitaamini kuwa anatumiwa na Wakubwa

Aliyetoa taarifa na magazeti yake kwa nini asihojiwe atoe habari sahihi. Badala yake wanahojiwa kina Max.
Ile kesi ya Membe imeisha au analeto smokesreen kufunika uozo wake??
Afungwe tuu hizo billions atapata wapi??
Ni kutapatapatuu!!
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Sasa aliowatuhumu si ndo wanatakiwa kuhoji mkuu? Ila yetu majicho.
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Hivi ni kitu gani Musiba alichokisema ambacho anahitaji kuhojiwa? Labda hiyo habari ilinipita kando. Niliona clip moja akitaja watu ambao wanataka kumwangusha Rais. Alikuwa anazungumza kwa kujiamini kabisa ikimaanisha kwamba ana ushahidi wa anachokisema. Ndiyo maana anataja hata majina ya watu. Sasa iweje hili liwe suala la kumchunguza yeye aliyeisema tuhuma hiyo? Kama aliyetajwa anaona amesingiziwa, aende mahakamani kudai fidia kwa kuchafuliwa jina. Kama uchunguzi unafanywa, uwe kutafuta ukweli wa kile kinachodaiwa na si kumchunguza aliyekisema. Yeye atahusika tu katika kutoa vielelezo vya tuhuma aliyoitoa. Na kama ikionekana tuhuma zake ni za uzushi tu, basi achukuliwe hatua zinazostahili.
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Spika , haiwezi kufunguliwa mashtaka.. Chunguza waya uliounganisha spika ... Ndiko yanakotoka maneno.. Usivunje radio, au kuchana barua.
 
Mkuu waya umetoka moja kwa moja kwenye transformer labda tanesco izime umeme ndiyo tukate waya
 
Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Kuna mpya leo tena?
 
Back
Top Bottom