Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Sidhani kama umemuelewa Komredi GENTAMYCINE vizuri.

Labda nikuibie tu siri, nyuma ya Ally Mayai wapo watu wengi sana na wenye nguvu ya ushawishi. Mmoja wapo ni Mbunge na mtoto wa Rais wa zamani.

Nitarudi baadae!

Nashukuru kwa kunijibia Mkuu kwani najijua mwenyewe huenda ningempa jibu ambalo asingeisahau hii ID milele hadi Umauti wake. Umeokoa Jahazi! Huwa sina Uvumilivu kwa Watu wapuuzi wapuuzi na ambao wao mechi au mpira wanaoingia kuuangalia ni wa Simba na Yanga tu wakati sisi wenzao hakuna mechi ya VPL tunayoikosa na tunazijua fitna zote za Soka la Bongo. Mwambie vizuri kuwa Ally Mayai Tembele na Mtemi Ramadhani baada ya Agosti 12 2017 wao ndiyo watakuwa Rais na Makamu Rais wa TFF. Atakachoenda kufanyiwa Jamal Malinzi hatokuja kukiamini machoni na masikioni mwake. Mwambie kuna Picha moja kubwa anaenda kufanyiwa Wiki ya Kwanza tu ya Kipyenga cha Kampeni na ni hiyo Picha ya Kimafia ndiyo itammaliza na kumtoa kabisa relini Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi. Mwambie asikae tu mbali ila kauli mbiu yetu ni ile ile " Malinzi pisha njia wenye mpira wao wamekuja ".
 
Hao wanajifanya vipofu na viziwi wanachokiona kwa Malinzi ni Kabila lake tuu wala sio Academies kibao alizozianzisha wala ligi ya wanawake,FA nk.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

Hivi huoni aibu kuongea hizi Pumba zako? Unakoelekea utanikera sasa hivi kisha nikuchenjie sawa? Wewe unajua maana ya Football Academies? Nikikuomba unionyeshe angalau mbili ( 2 ) zilizoanzishwa na Jamal Malinzi unaweza? Hivi unajua lakini kuwa hizi comments zako za Kifedhuli zinatutia na kutupandisha Hasira sisi Wadau na wenye Uchungu na huu mpira wetu? Halafu katika thread content yangu nimeongelea Kabila lake? Hivi unadhani 95% ya Watanzania wasiomtaka na ambao hawajapendezwa na Uongozi / Utawala wa Rais wa sasa wa TFF Jamal Emilio Malinzi ni Mapopoma / Wapumbavu? Comments zako zinatutia sana hasira sisi tunaoujua Uozo mkubwa uliopo pale TFF kwa sasa.
 
Nyinyi "wadau" ndio mnaharibu michezo nchini
Mdau ndio cheo au wadhifa gani kwenye mchezo?
Wadau! Wadau ukute mwanao ni mkata viuno stejini halafu unajifanya una uchungu na soka!!
 
...sina hofu juu ya hawa MAPACHA,lkn hofu na mashaka yangu ni kwa WAPIGA KURA,tunawahitaji kweli hawa MAPACHA lkn wapiga KURA watatuletea?
 
...sina hofu juu ya hawa MAPACHA,lkn hofu na mashaka yangu ni kwa WAPIGA KURA,tunawahitaji kweli hawa MAPACHA lkn wapiga KURA watatuletea?
 
hqdefault.jpg

Homa za vipindi hizi, mara mbaya Aveva mara Malinzi...soka uwanjani bwana. Watani zetu mmekuwa wapika vibaba kutwa vibarazani kujadili umbea?

Vipi, Niyonzima mmeshamsajili?
 
...sina hofu juu ya hawa MAPACHA,lkn hofu na mashaka yangu ni kwa WAPIGA KURA,tunawahitaji kweli hawa MAPACHA lkn wapiga KURA watatuletea?

Mkuu hili ni Swali ambalo kiuhakika hata Mimi najiuliza sana kwani hakuna Watu ambao wana Njaa iliyotukuka kama hawa Wajumbe wapiga Kura na kuna Mdau mmoja ambaye yupo karibu na tunayempinga na kumtaka apigwe chini anasema kuwa kwa Hela / Pesa / Fedha aliyoipiga Jamaa anaweza kuwahonga Wajumbe wote Gari mpya aina za IST na akawapa kila mmoja Hela ya Mboga Tsh Milioni Moja Moja.
 
Gentamicine naona nawe umeandika kishabiki pia, sasa ukiingia TFF si yatakuwa yalyale? Usimba na Uyanga ndio kikwazo ktk maendeleo ya soka letu sasa kutumia kigezo hicho sioni kama kutakuwa na maendeleo ya kweli ya soka letu.

Mwisho, sioni uzoefu wa Ali Mayay kiasi cha yeye kupewa nafasi ya Urais, Mtemi ndiye angefaa zaidi kwa nafasi ya Urais na Ali awe makamu, Mtemi amewahi kuwa ndani ya TFF enzi ya Tenga hivyo yeye ni chaguo bora kuliko Ali.

Vv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom