Leo Holiday,ni kiwanja gani jijini kimebamba?

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu leo niko katika mood ya kuspend zaidi,naomba tufahamishane ni kiwanja gani town hapa kimehappen kisawasawa mida hii,
Na nini hasa kinaendelea hapo,kama vipi mi na kampani ya washkaji tujongee
 
Wakuu leo niko katika mood ya kuspend zaidi,naomba tufahamishane ni kiwanja gani town hapa kimehappen kisawasawa mida hii,
Na nini hasa kinaendelea hapo,kama vipi mi na kampani ya washkaji tujongee

Njoo hapa Calabash...ila kila kitu kuanzia vinywaji mpaka kunibeba nikilewa ni juu yako.
Ila kumbuka kuwa mwisho ni saa 6 kamili usiku
 
Kiwanja kizuri ni hapa kijitonyama ambako Yanga hutumia sana kwa mazoezi ila usiende uwanja wa taiga walikataa time zisichezee wala kufanyia mazoezi kama hivyo kiki kushinda nenda viwanja vya chuo pale kuna viwanja vingi tuu vya michezo so usisumbue watu kuulizia viwanja kwa hizi pesa za msimu kwanza nenda katoe fungi la kumi.
 
Njoo hapa Calabash...ila kila kitu kuanzia vinywaji mpaka kunibeba nikilewa ni juu yako.
Ila kumbuka kuwa mwisho ni saa 6 kamili usiku

Hii offer ningekuwa town nisingeiachia.

Ningekunywesha hadi ulewe ili nikubebe nikupeleke kwangu.
 
Back
Top Bottom