Leo hii hamna wanaosombwa kutoka bara kwenda kujaza Uwanja wa Amani kesho

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,864
Nauliza tu hasa nikiyakumbuka yale ya wakati wa kampeni na hali ya sasa ya Zanzibar maana huenda inahitajika nguvu ya ziada kujaza uwanja.

Waandishi hebu pigeni kambi bandarini mfanye kauchunguzi ila msisahau na kupiga picha.

Anyway,lakini wa Unguja wanatosha kujaza ule uwanja na chenji ikabaki.
 
Viroba ni hatari sana.

Halafu nashangaa mpaka sasa serikali haipigi marufuku sijui hawaoni vijana wanaangamia au wanafanya makusudi!!.
 
CHADEMA tanzania bara mnachekesha.Yaani threads nyingi za kuhusu kuiponda zanzibar humu zinaanzishwa na CHADEMA na kuchangiwa sana na wana CHADEMA wa Tanzania bara.Mnaitumia Zanzibar KU-STEAM OUT FRUSTRATION baada ya LOWASA kupigwa chini.Mkishambulia Zanzibar mnasikia walau ahueni!! Maskini nyie mnatia huruma hadi basi.
 
Mkuu hii haisaidii cuf wameuza match inabidi wasubili mikaa mitano!,wanasiasa wa Africa wanapitia wakati mgumu sana mpaka kujitoa fahamu
 
CHADEMA tanzania bara mnachekesha.Yaani threads nyingi za kuhusu kuiponda zanzibar humu zinaanzishwa na CHADEMA na kuchangiwa sana na wana CHADEMA wa Tanzania bara.Mnaitumia Zanzibar KU-STEAM OUT FRUSTRATION baada ya LOWASA kupigwa chini.Mkishambulia Zanzibar mnasikia walau ahueni!! Maskini nyie mnatia huruma hadi basi.
sasa hapo mashambulizi yako wapi mkuu ? huyu kijana tena mtanzania mwenzenu ameuliza akitaka kujua , kosa lake liko wapi ?
 
Viroba ni hatari sana.

Halafu nashangaa mpaka sasa serikali haipigi marufuku sijui hawaoni vijana wanaangamia au wanafanya makusudi!!.
Baada ya vijiwe vyote vya kahawa kufungwa mpaka sasa kumi jioni vijana wote wapi JF ,wakisubiri wasaa huo ufike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom