Leo bunge linafikia tamati hadi msimu mwingine. Je, mbunge wako amekuwakilisha ipasavyo au ameenda kulala?
Nini kifanyike?
Bunge limetimiza wajibu wake?
Maneno yamekuwa mengi zaidi ya vitendo nathani ccm hakuna hata moja watakalo jivuni maana maisha ya wa tz bado magumu kupita kiasi mafuta bei juu,chakula tabu,sukari ndiyo balaa, nawasifusa sana cdm kwakuonyesha serekali njia mbadala yakutukwamuwa mungu naimani kubwa sana na cdm mungu aibariki cdm tunaimani nanyi sikuzote
Leo sio tarehe 25/08/2011!
Ndio mchangowako huu? Ingekua ni Bungeni hakika ungeomba muongozo wa spika teh!