Leo asubuhi Dodoma mh mbowe akiwa na Kikao na wabunge wa umoja wa ulaya pamoja na balozi wa ulaya

Sep 6, 2016
43
21
6a14001054a634c2f31e75fdf95c38fe.jpg
 
Yupo kazini akimaliza ataenda, Makonda alisema wengine wapo mikoani na njr ya nchi watakaporudi watahojiwa
 
Huyu ni mmoja kati ya watakaotoka saa tano kwenye mahojiano!
 
Hizo ni kesi kwa masikini hauna mali hata moja isiyohamishika wala wadhamini wako hao wanasiasa mambo yataisha kisiasa! kama jinsi yalivyoanza...
 
Back
Top Bottom