Leo 03/06/17 Panya Road 12 waitingisha Rombo ya Ubungo, 3 wauawa

Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanaishi kwa kutegemea maandamano ndo wanajiita panya road sikuhizi?
 
Tatizo ni Malezi. Mama hajui baba wa mtoto. Hana cha kumlisha wala kumvizha. Akiamka asubuhi kila mtu la vyake. Mama Ngomani mtoto anaranda mtaani kutafuta hata andazi. Mwisho wake ndio huu.

Lakini, kuna watoto ambao wameishi mazingira magumu zaidi ya hao panya road, na walijilea pasipo kuingia katika hivyo vikundi wala kujishughulisha na uharifu. Nao tusemaje ?
 
Mishikaki hii hapa;

image.png


Rombo hiyo, kandokando ya morogoro road, jana asubuhi!
 
UNAHISI KUUA NDIO SULUHISHO KAMILI ??? KWANN ISIPATIKANE NJIA MBADALA YA KUWABADILISHA HAWA VIJANA ????? WENGI YA HAWA VIJANA NIWATOTO WA MASIKIN FUKARA AMBAO KWAO SHULE ILIWAPITA MBALI NAWENDA WAZAZI WAMEFARIKI NAHAWANA MSAADA KWAIYO KWAO KUISHI NIMZIGO MKUBWA !!! ..BADALA YA KUSHABIKIA MAUUAJI KM HAYA ,,, EMBU TUJIKITE KTK KUSAIDIA VIJANA HAWA JAPO KUWAPA ELIMU DUNIA NA ELIMU YAKIMAISHA YAKUKIDHI MAITAJI ,,,, SASA ELIMU TU UJASILIAMALI MPAKA UILIPIE ,,,MTAJI HAPO BADO ,,, TUNAOKOA AU TUNABOMOA ???? LEO NAKESHO KUTWA SISI WAZAZI HATUPO ,,,, KWADUNIA YASASA WATU HAWANA UPENDO HATA NDUGU HAWEZI KULEA WANAO ,,UNAHISI WATAISHI VIPI ??? TUACHENI KUFURAHIA MASUALA YA MAUAJI TENA KWA MAJIGAMBO YA KIJINGA !!!

MWANAMME MZIMA UNASIKIKA UKISEMA "" eti leo wanaume Wa dar tumejitutumua ,,,oohhhh hatupendi ujinga """ IZI NIKAULI ZA MWANAMME ALIYWSHINDWA NA MWOGA ,, MWANAMME MPAMBANAJI NIYULE ANAYEONA TATIZO KTK JAMII NAKUAMUA KULIPATIA UFUMBUZI PASIPO KUTOA MADHARA YOYOTE KWA JAMII !!!!

shame upon you!!!! ,,wanaume Wa dar es salaam !!.
Mkuu Putin umenena vyema, tatizo letu kubwa huwa tunalazimisha kuficha uozo kwa kupulizia uturi (perfume). Badala ya kuangalia tumefikaje hapo ili tutafute namna ya kutoka tunaishia kuhangaikia kuficha ukweli wa pale tulipo.

Na unapoangalia comments za watu hadi uachoka na kutekewa! Sijui tumelogwa? Na kama tumelogwa aliyetuloga alisha kufa kwa hiyo hakuna mtu wa kutugangua.

Na hata wakiuawa, ni panya road wangapi jamii inawatengeneza kila siku? Nadhani ni wakati wa kutatua tatizo badala ya kushangilia madhulumu ya jamii chovu iliyokosa msaada.
 
panya road si wako dar, ndio hao hao wanakuja kuwa wanaume wa dar, wa mikoani hatushangai
 
Back
Top Bottom