Lengo sio gazeti la CCM la uhuru bali Lengo ni Kufungia magazeti mengine

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Gazeti la CCM la Uhuru limetangulizwa kama chambo tu, CCM na Serikali wamelenga magazeti mengine, Siku wakifungia magazeti mengine watatumia kigezo mbona gazeti lao la CCM wamelifungia

Tangu lini kesi ya Mtoto wa Paka akapelekewa mtoto wa Paka

Gazeti la uhuru na CCM ni kitu kimoja

Ukiangalia kwa umakini, Kosa la gazeti la Uhuru ni dogo sana na la kuchekesha sana.

Kosa ni kunukuu maneno tofauti ya msemaji tena eti"Samia sitagombea Urais 2025"

Siku zijazo sitashangaa magazeti ambayo yaliminywa kwa miaka mitano yakaendelea kuminywa zaidi na Kufungiwa zaidi

Magazeti ya The Citizen,Mwananchi, Rai na Jamhuri yajiandae

Hii inaitwa attacking the enemy using the enemies weapons
 
Ni timing za kibiashara tu

ile head line tu imesababisha kuuza copy zote ndani ya masaa machachee....na walifyatua nakala nyingi.....!
 
Back
Top Bottom