Lengo la Rais Magufuli kuzuia makinikia ni ili Smelter inunuliwe hapa nchini. Prof. Muhongo alifukuzwa uwaziri kwa kushindwa kununua Smelter

Mkuu kaisikilize kwa umakini speech ya Mark Bristol, Mzaliwa wa africa ya kusini mwenye asili ya uyahudi, kasema yeye ni mwafrica halisi tena mzulu, alimaanisha kuwa africa tunapaswa kuwa wamoja yanapokuja maslahi ya africa. isingelikuwa kukomaa kwa magufuli Mark asingekuwa ceo wa barrick, na Mark asingekomaa na Geleta tusingepata huyu mtoto twiga minerals, na huu ndio ushirikiano wa kikanda akasema, either we win together or we loose together na hii ndio africa mpya chini ya magufuli. Umeelewa?
Kimsingi kwenye makubaliano hayo yeye ( Mark) yuko upande wa Barrick na Tanzania ipo upande wa pili. Tunatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa tu kuelewa.
Hayo ni maneno tu ya kutongoza, Ulitegemea aseme nini?
Hata hivyo, sijaungana na wanaosema ni makubaliano mabaya kwa sababu sijapata undani wake.
 
Magufuli ana matatizo makubwa mawili

1. Anadhani yeye ni mjuzi wa kilakitu
2. Anataka kuambiwa kile kinachoendana na mawazo yake tu, vinginevyo wewe mshauri utaitwa hauna 'uzalendo'

Juu ya hayo, kuna tatizo moja dogo,
Anawaamini sana TISS utadhani ni malaika, wakimpelekea viripoti vya siri basi yeye anaona kila kilichomo humo ni 'fact' kumbe wakati mwingine ni madudu matupu.
muhuri wa SIRI hauifanyi taarifa kuwa iliyosheheni facts.

Matokeo yake ni washauri wake wenye uelewa mkubwa wa baadhi ya mambo wanaamua kukaa kimya au kushauri vile anavyopenda mshauriwa.

Lissu aliita ripoti ya akina prof Mruma kuwa ni 'professional rubish' watu wakanuna kwelikweli, alikua sahihi kwa 100%
Nakubaliliana na wewe hapo kwenye kuamini kila anachopelekewa na TISS. TISS badala ya kuwa TISS hasa, mara nyingi wamekuwa wakifanya kazi kama kikundi cha wambeya. Inatakiwa kusukwa upya, kupewa mafunzo ya weledi maridhawa ili wanapotoa taarifa kwa idara nyingine iwe imesheheni ukweli mtupu.

Kwa sasa, TISS inampotosha sana.
 
Kimsingi kwenye makubaliano hayo yeye ( Mark) yuko upande wa Barrick na Tanzania ipo upande wa pili. Tunatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa tu kuelewa.
Hayo ni maneno tu ya kutongoza, Ulitegemea aseme nini?
Hata hivyo, sijaungana na wanaosema ni makubaliano mabaya kwa sababu sijapata undani wake.
Uzuri wote tunakubali kuwa mark katunasua, huyu Ni mwenzetu sio bongozozo, Ni pure Africanized
 
Hivi Prof John L Thornton si ndio mwanzo tulimsifu huyu? Alisema share zitakuwa 50/50 na sasa 16/84?
 
Uzuri wote tunakubali kuwa mark katunasua, huyu Ni mwenzetu sio bongozozo, Ni pure Africanized
Wewe jamaa una hatari sana. Acha kulaghaika kirahisi kama mwanamke! Yule yupo Barrick na ataendelea kuhakikisha maslahi ya Barrick yanalindwa na mwisho wa mwaka anatakiwa kuwaeleza Barrick alichozalisha. Hatokaa aje kumuelezea Kabudi alichozalisha!
 
Binafsi namfahamu Mark alikuwa akiishi kwenye nyumba ya mama rwechungura pale jirani na tilapia hotel, hivyo Sina Shaka nae na alivyoondoka kwenda congo alimnunulia mama mmoja nyumba isamilo
 
Back
Top Bottom