Lengo la kumlipia Msigwa ili wenzie wabaki ilikuwa na maana gani?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Mpaka muda huu bado sijaelewa lengo la Magufuli na Ikulu kutaka kumlipia Msigwa ili hatoke na wenzie wabaki je ilikuwa ni kukigawa chadema? ilikuwa ni chuki dhidi ya upinzani kati ya mbowe na Magufuli? natafakali vigezo vilivyotumia ivi undugu ni zaidi ya sheria kwanini hawakutafutwa mawakili wake ndio wakamlipie ila ccm?
 
Divide and rule theory

IMG-20200312-WA0041.jpeg

Jr
 
Si wakueleza wamekueleza anaundugu na familia ya Kifalme, we haujaelewa nn hapo Mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpaka muda huu bado sijaelewa lengo la Magufuli na Ikulu kutaka kumlipia Msigwa ili hatoke na wenzie wabaki je ilikuwa ni kukigawa chadema? ilikuwa ni chuki dhidi ya upinzani kati ya mbowe na Magufuli? natafakali vigezo vilivyotumia ivi undugu ni zaidi ya sheria kwanini hawakutafutwa mawakili wake ndio wakamlipie ila ccm?
Hamkosi na kuacha lugha za kukosoa hata pale jambo jema linapotendeka. Hakika roho zenu huwasuta mnapokuwa kweny "keyboard" kuandika hayo.
 
Pupa imewaponza.Mpaka wakajisahau kuwa wao ndo waliotoa hukumu.Haki haijifichi milele
 
Mpaka muda huu bado sijaelewa lengo la Magufuli na Ikulu kutaka kumlipia Msigwa ili hatoke na wenzie wabaki je ilikuwa ni kukigawa chadema? ilikuwa ni chuki dhidi ya upinzani kati ya mbowe na Magufuli? natafakali vigezo vilivyotumia ivi undugu ni zaidi ya sheria kwanini hawakutafutwa mawakili wake ndio wakamlipie ila ccm?
Unafki umemjaa bwana yule
 
Hapo kuna jambo jema gani? Mbona Msigwa mwenyewe kawakana kweupeeee?
Hamkosi na kuacha lugha za kukosoa hata pale jambo jema linapotendeka. Hakika roho zenu huwasuta mnapokuwa kweny "keyboard" kuandika hayo.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom