Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kwani wewe ndiyo jaji? Mahakama itamuachia huru mbowe bila mashariti baada ya kugundulika ushetani wenu wote dhidi yake
Unaona sasa unavyo conclude? Time and mahakama will tell, kwa pressure mliyopiga alipokamatwa angekuwa ameshaachiwa na kesi imeshafutwa.......
 
Poor Sabya amwvuna alichobanda
Kesi ya mbowe ni yeye alibuni akiwa kule Hai akawatuma rafiki zake mahita kingai kuwabambikia kesi kuwafunga pingu saa 24 kila siku chini ya mateso makali, Sabaya ni shetani mbaya
 
Unaona sasa unavyo conclude? Time and mahakama will tell, kwa pressure mliyopiga alipokamatwa angekuwa ameshaachiwa na kesi imeshafutwa.......
Kesi inafutwa na mbowe kuachiwa huru baada ya PGO kukiukwa na haki za binadamu kukiukwa kwa kuwafunga pingu watu saa 24 kila siku kuwapiga waseme ugaidi hewa feki, ushetani wako na wenzako mtaumbuka mda si mrefu
 
Nafurahi sana mtu akini-tag inaonyesha ni kiasi gani ujumbe wangu unavowafikia huko kunako.
Tuna mpango wa kumpa miaka ya mvua bwana wenu mbowe na mnabahati wale mume zenu wengine wamekimbia nchi wakamuacha boya ambaye sasa hv anauona moto huko huku vibinti vikibishana huko Twita
laana zitakuua utakufa na bwawa zako kabla mbowe hajawa huru acha utabili wa kijinga
 
Bora Mbowe ana miaka 60 sasa Sabaya miaka 35 no mke,no watoto so sad.Mbowe ana mke,watoto na wajukuu he has nothing to loose kama Sabaya anaelia na kwenda kuoa.Ila maharani akate rufaa mahakama itatenda haki na Mungu wetu hajalala.
Mahita na rafiki zake wengine wanafanya mipango ya kukata rufaa ili atoke jela akaoe yule mke zipo njama nyingi ikiwemo ya kumtoa gerezani kumpeleka msumbiji ambapo ataishi huko mpaka miaka yake ya kukaa gerezani imalizike
 
Jela haina mwenyewe ndg zangu nawaambia, yeyote yule jela anaweza akafika.......(sikiliza jagwa music vol 6)
Nalog off
 
kilichonifurahisha Jambazi Ole Sabaya amekiri kuwa yote aliyokuwa anafanya ni maagizo toka Juu.
Miaka 30 ni sawa na miaka 20 gerezani.
Kwahiyo atatumikia kifungo cha miaka 20 tu.
Waliomtuma ndiyo wataitumia rufaa kumwachia huru
 
Namwonea huruma sana huyu bwamdogo wanampoteza kihuni tu wakati wao ndio walikua wanamtumia.
Zamani sana hata pia Ben saa8 tangu anajiunga hapa,akawa lopolopo sana kila kitu anakijua yeye.
Niliwai kumshtua tu kama mdogo wangu "e bana taratibu"siasa za Bongo nenda nazo mdogo mdogo.
Ndo kwaanza akawa bichwa hilo.
Alikopotelea hamna anayejua mpk leo.
Acha kupotosha nani aliyekuwa akimtumia zaidi ya Mwendazake?kwa kisingizio kuwa ana mkomoa Mbowe,?mala ngapi Pm, alilalamikiwa juu yake lakini hakuwa na la kufanya?!!unadhania sponsor asingekufa haya yange mtokea?na yalikuwa matukio ya kihuni mno nadhani ndio maana hata mama Samia aliamua ashitakiwe, afadhari hata ingekuwa hii kesi ya uhujumu uchumi tu, kidogo kulingana na cheo chake sawa, lakini ya ujambazi wa kutumia silaha?!!!DC haijawahi kutokea na inaweza kuchukua karne kujirudia au isitokee kabisa.
 
Mahita na rafiki zake wengine wanafanya mipango ya kukata rufaa ili atoke jela akaoe yule mke zipo njama nyingi ikiwemo ya kumtoa gerezani kumpeleka msumbiji ambapo ataishi huko mpaka miaka yake ya kukaa gerezani imalizike
Hatari Sana.
 
Kesi inafutwa na mbowe kuachiwa huru baada ya PGO kukiukwa na haki za binadamu kukiukwa kwa kuwafunga pingu watu saa 24 kila siku kuwapiga waseme ugaidi hewa feki, ushetani wako na wenzako mtaumbuka mda si mrefu
Haya, jipe moyo, kipimo mlichompimia Sabaya leo nanyi mtakuja kupimiwa muda si mrefu, kesi ya msingi inaanza kusikilizwa wiki ijayo, hizo porojo zenu za PGO mtazikimbia soon
 
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.

Sabaya alimtukana tusi kubwa sana chief Hangaya enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai ambalo siwezi hata kuliandika hapa .Hii ndiyo sababu ya kula mvua ya miaka 30.
 
Back
Top Bottom