Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kwa kitendo Cha kumshughulikia Sabaya , imetupa faraja na kuona ni jinsi gani ulivyokua unaumia kwa maovu wanayo tendewa watanzania.
Sabaya alijisahau Sana , wenzake Kama makonda na Gambo walishtuka na kutaka kujichomoa, Ila wapo wakamatwe wakaeleze kwanini waliwatesa wananchi, pia Muro, Hapi, na yule mwehu au sijui kuwa ni kichaa Chalamila pia wakatwe.
Huyu Humphrey yeye aulizwe kwanini alihusika kwa kiwango kikubwa ku inajisi katiba ya nchi hii.
 
Makonda al- maarufu Bashite ashughurikiwe kwanza ndio tunaweza kuongea lugha moja.
Bashite amedhurumu haki za watu za kuishi, apelekwe mahakamani akapate haki yake kama Sabaya.
 
Makonda al- maarufu Bashite ashughurikiwe kwanza ndio tunaweza kuongea lugha moja.
Bashite amedhurumu haki za watu za kuishi, apelekwe mahakamani akapate haki yake kama Sabaya.
Mie mnanichanganya sana mnavyomhusisha na T-lisu, ila nae alikuwa na makirikiri kule clouds, je, lile si genge la uharifu?
 
Kumbuka hadi Mbowe yupo kwenye list ya wanaoshughulikiwa.

Kwa hyo tukubaliane mama haonei watu, km Sabaya hakuonewa na Mbowe pia haonewi😎
 
Justice system ineanza kufanya kazi yake bila kuingiliwa na Wahuni

Ukifananisha kesi mbili ya Mdude na Sabaya utaamni hivyo

Well Pongezi kwa Raisi Samia Hassan.
Kipindi marehemu kwenye kesi Kama hizo ungesha sikia kauli yake iki viongoza vyombo sheria kutoa maamuzi anayo yataka yeye Kama yeye.
 
Kwa kitendo Cha kumshughulikia Sabaya , imetupa faraja na kuona ni jinsi gani ulivyokua unaumia kwa maovu wanayo tendewa watanzania.
Sabaya alijisahau Sana , wenzake Kama makonda na Gambo walishtuka na kutaka kujichomoa, Ila wapo wakamatwe wakaeleze kwanini waliwatesa wananchi, pia Muro, Hapi, na yule mwehu au sijui kuwa ni kichaa Chalamila pia wakatwe.
Huyu Humphrey yeye aulizwe kwanini alihusika kwa kiwango kikubwa ku inajisi katiba ya nchi hii.
Ukizijua sisasa za TZ usingesema hivyo,kila mtawala akiingia huwa anawatu wake anataka kuwashikisha adabu.
Unawakumbuka akina Daniel Yona na Pesambili Mramba kile Kikwete aliwafanyia? Hawakufungwa? Je Sabaya ni wa Kwanza?
Kufungwa kwa akina Yona ni kwamba Kikwete hakupenda ufisadi? Si yuleyule rushwa ilisitawi Kama donda ndugu?
 
Akitoka hata nguvu ya kusukuma mavi atakuwa hana
JamiiForums-913078608.jpg
 
Siku hazigandi aliimba lady Jay Dee comando mpaka Sasa sabaya amebakiza takriban siku elfu kumi Mia Tisa na hamsini. Sio siku nyingi kiviiiiiiiiiiiileeeee. Ni swala la uvumilivu tu. Unajikaza mwanaume.
Kwakweli..................
 
Back
Top Bottom