Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Umekunywa chai Ndugu mwandishi
 
Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Ukifukuzwa kwenye Kazi yako utabaki kuwa mwajiriwa au Utaenda kutafuta Kazi nyingine?!!..Wewe upo kijiweni wewe
 
Huijui kazi ya majeshi wewe.
unapiga tu kelele hapa.
Wenzenu kesi wameishaimaliza ni anasubiriwa jaji tu apige nyundo yake
Endelea kudanganya kijiweni huko!!..Ukifutwa Kazi ya Jeshi huwezi kwendelea na kazi za Jeshi!!....Ndio maana unaona wale wapo Mahakama ya kiraia!!..Uache uongo kwasababu ya ushabiki
 
Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Kuna mtu kasema hawi mwanajeshi??

Nimekuuliza, ni kipengele kipi cha katiba au Sheria kinacho kataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi/kipato au asiajiriwe na mtu binafsi?

Sheria ipi au kifungu gani cha katiba?
 
Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
Mimi sina shaka na hilo kama anahatia mahakama zitende haki tu .Mimi simtetei Sabaya wala Mbowe .Kilichopo sasa ni Sabaya kahukumiwa ndugu zangu WAMACHAME tumeipata kwa kweli kwa huyu DC .Mbona waliokuwa MaDC huko kwingine hawakuwa wanafanya haya? na hata Mbowe mbona wenyeviti wengine hawafanyi hayo.Mimi kuhusu Mbowe siyajui sana kwa sababu hayakuni affect direct ,zaidi ya wakuu wa nchi walioyaona hayo.
 
Katiba yako inakataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi /kapato?

Inakataza mtu binafsi asiwaajiri??

Hebu jitahid usifanane na user name yako basi , utafanya upuuzwe wakat una akili timamu tu
Mwanajeshi msitaafu huwa yupo huru kuajiriwa popote pale, alichokifanya Sabaya kule Moshi kwa walinzi wa mbowe ndiyo ugaidi, Polisiccm akina mahita kingai ndiyo waliwafanyia ugaidi walinzi wa mbowe ambao walikuwa wageni moshi hawakuwa wakijua ugaidi wowote zaidi ya Ulinzi kwa mbowe mwenyewe
 
Back
Top Bottom