Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Bahati humpata kila mtu.
 
Mungu amfanyie wepesi.
Hizo kesi zenyewe za sabaya na mbowe ni kesi za kubumba bumba tu! Ngoja tuone kwa mbowe!
kesi ya Sabaya ni kesi ya kweli haina shaka kote Duniani lakini kesi ya mbowe ni kesi feki hewa kesi ya uonevu kesi ya kubambikiwa huku PGO ikiwa imekiukwa kwa kiwango cha juu
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Huu ni mtego wa ile kesi nyingine kamanda. Utakuja kuniambia!
 
dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..

Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
UNGEKUWA NI WEWE UNGEJITETEAJE?

AU ULITAKA AJITETEAJE?

ILA NINGEKUWA MIMI NINGESEMA SIWEZI KUJITETEA KWA MAMBO NISIYOYATENDA.
NAWEZAJE KUJITETEA KWA MAMBO NIYOYATENDA?

KUKUBALI KUJITETEA NI SAWA NA KUKUBALI KOSA KUWA NI KWELI ULILITENDA ILA SASA UNAOMBA UPUNGUZIWE ADHABU!!!
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Kauli ya mkosaji hii..huyu Mungu anaemsema ndio amekua kazini kuhakikisha anaadhibiwa Kwa matendo yake ..hivi ni kwanini watu wanapopata matatizo ndipo wanamkumbuka Mungu? Mbona hakuwa anasema Mungu alikua kazini alipokua anapora watu na kuwatesa na kuwatia mademu WA watu ..
 
"nina mchumba ninatarajia kumuoa hivi karibuni na mahari nimeshalipa naomba mahakama iniachie huru..."
Utetezi wa Sabaya ni utetezi wa kibwege kweli sasa ngoja akina kingai mahita rafiki zake wamtunzie huyo mchumba wake
 
Back
Top Bottom