Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mkuu Erythrocyte Mungu yupi huyo anayemtaja Sabaya. Huyo Mungu hakumjua wakati akitesa, Kuiba na kulawiti? Akanyee Debe huko. Ametutia DOA CCM.Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .