Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Mimi hata si mfupi ni mwanamke mrefu kuzidi ukoo wenu mzima so hzo za emolo sijui vyovyote unavoita havipo kwangu, niwaachie nyie wafugaji.
We mfupiiiii tena mfupii sanaa....

Manake sio kwa ubishi huo.... kaaaah!!

We ni ANDUNJE.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
ujinga mtupumxngg sana wewe.
 
Labda umesahau kwamba Tanzania tuna utaratibu wa kuwapa ulinzi wahalifu walio kwenye hatari ya kushambuliwa na jamii kutokana na uhalifu wao!
 
Umaarufu wa huyu kijana saa hizi usipime akirejeshwa kuwa mkuu wa wilaya ya Hai tutaimba nyimbo za taaratibu kama ulaleee salaama kwa jitu moja la Hai limwinyi fulani hivi
Alikuwa akiitwa Mkuu wa Wilaya ya Hai aliyesimamishwa ila kuanzia jana anaitwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai!
 
Hii dhana kwamba Sabaya alimkosesha Mbowe Ubunge ina walakini. Kwani ukiangalia karibu majimbo yote yameenda CCM uchaguzi wa 2020.
Sasa kuna kipi cha ajabu alichokifanya Sabaya? Hata kama ingekua ni kweli alimdhibiti Mbowe hakupaswa kumdhibiti kimabavu. Pia nafikiri si kazi ya DC kudhibiti upinzani. Alivyokua hamnazo akajipeleka CLAUDS kujustify maovu yake kwa hoja ya kumdhibiti Mbowe! Ikumbukwe kwenye ile interview alionekana kushabikia mtu kukatwa sikio na kwamba ilikua sawa kwa sababu ya kumdhibiti Mbowe. Sabaya was a shame in leadership.
 
Jimbo la Hai mbowe alijifanya mtemi
 
Back
Top Bottom