Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,184
Wale mliokuwa mnasubiri zali la kuwa queen of social media networks mmechelewa the king himself is now engaged to a woman of his dreams.

Wifi aliyepatikana kigezo chake kikubwa ni kuto MUOGOPA MANGE, kumbe wengi walifeli mtihani wa kuwa Mrs Lemutuz kwa kumuogopa dada wa taifa.
 
weka kapicha tafadhali
 
Nadhani hizi nafasi za Udc kutupwa pembeni licha ya kuwa mpambe wa Bashite imemuumiza na ameambiwa kwenye vetting kuwa single imemuharibia.
 
Mobimba ana allergy ya kukaa karibu na masikini hataki juambukizwa umasikini
Mobimba anafauta kanuni ya "I never stand with loosers" Mobimba hata kama ni marafiki sana atasimama upande wa anapoona kuna ushindi. Hahaha hata Mako akipigwa chini utashangaa Mobimba anamtenga kama vile hawakuwahi kuwa marafiki, najiuliza sijui alirudi kwa majizzo baada ya kumaliza tofauti zao kati ya Mako na Majizo maana alipokamatwa kwa kesi ya madawa alimponda pia....
 
Ngoja nifate hyo kanuni maskini hana utu
 
Kama ela ya kula tu ni mgogoro upaka ukope Talla na Branch basi hiyo IVF sahau kabisa wanaiweza kina Bashite wanaokula keki ya taifa.
Ivf ipo overated hapo mikocheni ni dolar 5000 tu.madawa unanunua mwenyewe na clinic unaenda za kawaida.ukijipeleka huko upewe kila kitu ni hela ndefu sana bila sababu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom