Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Ni bonge la mshamba tuYaani huyu ingekuwa inawezekana hata siku akifa atatamani aamke kidogo apost jambo u know
Ni bonge la mshamba tuYaani huyu ingekuwa inawezekana hata siku akifa atatamani aamke kidogo apost jambo u know
Au kile kibint cha juzi kimemzungusha sana kunako 6x6 akakata pumzi
Huyu kijana wetu anapiga kazi kwelikweli tunamtakia afya njema.
Na mie nimeshangaa, show off za kulazimisha ni mbaya sana.Kaka mkubwa connection ya ugonjwa na dinner ya five star hotel ni nini?
Mimi na wanadamu wengine sio misukule ya ufipa.Labda wewe ndiyo unamtakia afya njema
Mimi na wanadamu wengine sio misukule ya ufipa.
Nadhani Kitu cha Msingi alichotakiwa kutuambia ni kuwa anaumwa tu na kwamba anatuomba tumuombee lakini hizo sijui AC mara Five Star Hotel na Hospitali aliyopo ni Siri nadhani Kwangu Mimi hapo amezidi kutuonyesha ' Udhaifu ' wake mkubwa wa Akili / Upeo.
Sasa unapoficha hadi Hospitali wakati kuna Watu kama akina GENTAMYCINE wana ' Upako ' wa moja kwa moja kwa Kumshika au Kumgusa Mtu ' directly ' na anapona kweli kwa hapa Msaada wangu Kwake nitautoaje kama hata Hospitali tu aliyopo sasa ni Siri?
Natamani sana Siku nipate wasaa ' Maalum ' tu niweze kufanya ' Exclusive Interview ' na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela niweze Kumuuliza Swali langu ambalo linanitatiza Siku nyingi kwamba huyu kweli ni Mwanae ' Biologically ' au labda amesingiziwa au ni Mtoto wa Kaka yake kwani sioni Uhusiano wa Busara na Uwezo mkubwa wa Hekima wa Mzee Malecela na Yeye ( huyu Mgonjwa wa AC )
Mtoto wa Kiume AC tu inakusumbua si hatari sana hapa na tayari umeshatuonyesha jinsi ulivyo ' Nyoro Nyoro / Legevu Legevu ' kabisa. Halafu kwa Mtoto wa Kiume ambaye kila Asubuhi Mnara wako wa Babeli unasimama kuja Mitandaoni na ' Kudekadeka ' kuwa unaumwa Ugonjwa wa ' AC ' ni ishara tosha ya ' Uvimelea ' vya Ukike Kike.
Mtoto wa Kiume unatakiwa Kuugua Magonjwa kama ya Kuvimba Pumbu / Kende, Mboo kuzidi Urefu, Gono, Kaswende, Kutiririka kwa Kasi kwa Shahawa nyingi Mbooni / Uumeni / Mkuyengeni na Tezi Dume ila siyo Kuugua Ugonjwa wa Kike Kike wa ' AC '. Siku zingine acheni ' Kutudhalilisha ' Wanaume wenzenu humu Mitandaoni.
Ukificha hicho kichwa unaweza kufikiri ni mjamzito!Get soon nye nye nyeeView attachment 1096064
Ni bilionea mkubwa sana hapa Tz anamiliki chombo cha habari uko youtubeSasa huyu boya anafanya kazi gani?!
Sasa huyu ana degree 3 kazipatia marekanì na pia ni bilionèaHata huyu le mutuz dada zake wamefanikiwa kweli kuna mmoja ana PHD mwingine Jaji nazani huyu tu ndio mzee alipata hasara alikataa shule akawa anajifanya ni mission town mpaka leo hajatoboa na miaka yake 65 jamaa ana mvi kama lowasa ndio mana ananyoa nywele aonekane kijana