Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
William Malecela (Le Mutuz au Baharia) ni mwanachama mwanzilishi na mmoja wa wadhamini wa kwanza kwanza kabisa wa jukwaa hili kuanzia 2005. Aliwahi kuwa na ID za Mzee ES na Field Marshal ES wakati bado anaishi New York City. Muda mfupi kabla hajaamua kurudi nyumbani alimua kubadilisha ID na kuweka jina lake halisi la William Malecela ingawa sasa hivi sijui anayumia ipi. Katika kipindi hiki chote hapa JF ametoa michango mingi sana ya maana, tumelumbana naye kwenye mada nyingine nyingi sana na kufikia kukubaliana kutokukubaliana, na vile vile amewahi kutoa michango ambayo ilionekana haifai kujadiliwa kabisa. Hayo yote ndio msingi wa majadiliano na ni kati ya chachu zilizosababisha JF ikubalike kwa watu wa mbalimbali katika jamii.

Wiki hii nimesoma kwenye mtandao mwingine kuwa amelazwa Muhumbili kwenye taasisi ya moyo; sijaona thread yoyote JF inayohabarisha jambo hilo, na kama ipo basi huenda ni obscure sana kiasi kuwa haionekani mara moja. Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba wana JF wote tumtumie salamu za pole mwanachama huyu mwandamizi wa jukwaa hili. Atakayeweza kumtembelea afanaye hivyo, atakaye mtumia SMS afanye hivyo na yule atakeyesaini kwenye thread hii kumpa pole asisiste afanye hivyo. Le Mutuz na mojawapo ya nguzo kubwa sana zilizojenga JF.
View attachment 1092909

Ugua pole mwenzetu Le Mutuz. Binafsi ninakuombea mwenyezi Mungu akurudishie afya yako yenye nguvu urudie kwenye majukumu yako bila kusita kutoa "Tamkoz"
UGUA POLE MZEE WILLIAM MALECELA!TANGU MWANZO NILIHISI UNAPASWA UENDE JKCI.UZEE NA MWILI WAKO LAZIMA MARA KWA MARA KUANZIA SASA UWE UNAKWENDA HAPO KUANGALIA MASUALA YA MOYO KWA UJUMLA.
ALL IN ALL GET WELL SOON MZEE WILLIAM MALECELA.
BABU MZEE JOHN MALECELA POLE KWA KUUGULIWA.
 
Naandika tena ugua pole kwa William.

Narudi kwako mdau
Kutumia kote JF yaani hadi leo hujui hata kusechi kwanza kabla ya kuamua kuandika kama vile watu hawamjali humu!!!!.. historia uliyotoa ni nzuri.. najua baadhi tunazijua hizo IDs. Nina kumbuka kwamba Jambo forums iliianza mwaka 2006 miezi ile ya mwanzo kama Feb vile..

Haya ona threads ambazo zilianza kurushwa tangu April 2019.

Umemuona leo Makonda pale kanisani alivyopendeza?
 
Naandika tena ugua pole kwa William.

Narudi kwako mdau
Kutumia kote JF yaani hadi leo hujui hata kusechi kwanza kabla ya kuamua kuandika kama vile watu hawamjali humu!!!!.. historia uliyotoa ni nzuri.. najua baadhi tunazijua hizo IDs. Nina kumbuka kwamba Jambo forums iliianza mwaka 2006 miezi ile ya mwanzo kama Feb vile..

Haya ona threads ambazo zilianza kurushwa tangu April 2019.

Jibu lako lina walakini sana; hata hivyo nimekuelewa.
 
so sad, Le mashati makubwa, upone haraka. Ila wewe ni hasara na nusu
 
Simuombee apone, hili jitu limejaa mavi tumboni na linafiki kufa, namuobea mengi aliyechangia nchi hii, siyo watu wanaotuharibia hewa kwa ushuzi
 
UGUA POLE MZEE WILLIAM MALECELA!TANGU MWANZO NILIHISI UNAPASWA UENDE JKCI.UZEE NA MWILI WAKO LAZIMA MARA KWA MARA KUANZIA SASA UWE UNAKWENDA HAPO KUANGALIA MASUALA YA MOYO KWA UJUMLA.
ALL IN ALL GET WELL SOON MZEE WILLIAM MALECELA.
BABU MZEE JOHN MALECELA POLE KWA KUUGULIWA.
Ashakwambia yy sio mzee kwahiyo ondoa hilo neno mzeee
 
Get soon nye nye nyee
Screenshot_20190513-141920.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom