MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,759
- 3,033
Mkuu inawezekana wala sio ki chenchede wake; nasikia jamaa anapenda sana kupiga picha na Le Wabebeez halafu ana-post mtandaoni. Kuna dada ilibidi amuombe a-delete picha yao maana jamaa yake ali-mind.Bado mkubwa juzi hapa nimeona karushia insitagiramu akiwa na ki chenchede chake