themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 965
- 3,277
Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
Ha ha haToo much AC U know.. And I love it!!
😂😂😂
Hahahahahaha Duuuh nilidhani alishaacha haya mambo ya vibintiAu kile kibint cha juzi kimemzungusha sana kunako 6x6 akakata pumzi
Hahahahahaha Duuuh nilidhani alishaacha haya mambo ya vibinti
Hahahaha u know guys am dead and i will send pic of sir godYaani huyu ingekuwa inawezekana hata siku akifa atatamani aamke kidogo apost jambo u know