Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Mke au kinyago cha mpapure?
 
Mzee wa American spirit
Nasikia hiyo harusi ilihudhuriwa na mabilionea wenzake tupu ilipofungwa katika 5 star hotel
 
Mtoto Rangi adimu rangi ya mtume Bongo Tambalale U know me Love it,Breakfast in Five Star Hotel you know Proudly Tanzanian with American Spirit.
 
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Mkorogo plus big mouth 😏
 
Mmmh bi harusi mbona kama anavuta ganja
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom