Elections 2015 Lembeli tumbo joto Kahama

BASHITE

Member
Sep 30, 2015
11
2
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata zake...je hayo ndio mahitaji ya watu wa kahama?Mbunge wa Zamani mweshimiwa MLOLWA yeye alinunua vitanda kumi kwenye wodi ya wazazi" labour"kulingana na mahitaji yetu ya kipindi hicho.....MLOLWA alidraft program ya maji mji wa kahama.....MLOLWA amejenga mashule ya kata akishirikiana na Jumanne Nkadi Kishimba zikiwemo dispensari.....Je tunahoji,kwasababu Lembeli umeshindwa hata kununua vitanda vingine LABOUR kulingana na ongezeko la wazazi kwenye hospitali mpaka kufikia wazazi50 kwa siku,je unafaa kuendelea kuwa mbunge kwa awamu ya tatu?pia kahama tumekuwa na tatizo la umeme kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya umeme....mh.Lembeli hajafanya mpango wowote wa kujenga sub station mpya buzwagi ili kuweza kuunganishiwa umeme wa uhakika na badala yake Lembeli uliongoza malimbano na mgodi,je anafaa kuendelea kuwa mbunge?Lembeli umeshindwa kuomba mgodi ukujengee Hospitali ya kisasa mjini kahama badala yake umekuwa mtu wa kulalamika na kwenda CHILA CLUB...kuvinjari na mabinti wadogo.....je unafaa kuendelea kuwa mbunge?Lami iliyojengwa mjini kahama ni matunda ya Mh.Benson Mpyesa ambae ni mkuu wa wilaya ya kahama,je wewe Lembeli endapo utashindwa ubunge tutakumbuka kwa lipi mjini kahama?
 
Kwakua vichinjio mnavyo mikononi mwenu majibu yapo kwenye himaya yenu
 
Serikali ya hovyo ya ccm ndiyo yenye jukumu la kuleta maendeleo na kujenga uchumi wa inchi, halafu nyie maccm mbona hata kenge wanawashinda kufikiria? Haya matatizo mmeleta nyie na mkwere wenu
 
Utakuwa kilaza sana wewe, yani thread yako ya kwanza hapa jf imejaa upuuzi mtupu, unafiki na majungu.
Hapa hapakufai nenda fb na insta ndio kuna type yako.
 
Tangu lini mkuu wa wilaya akajenga barabara ya lami?

Kama wabunge wa ccm hawajafanya kitu,na inaonekana hajafanya pale tu anapohama basi wabunge wote wa ccm hawatufai.
 
mi nashindwa kumuelewa huyu lembeli,na uzee wote huo bado anachukua vyangudoa wa club chiller?,hivi hanaga mke huyo?
 
Kati Ya Mbunge Ninaye Mkubali Japo Mimi Ni Ccm Ni Joshua Nassari,hasubili Kuletewa Anatumia Resources Zake Kumake Sure Jimbo Lake Linasonga Mbele Na Hivo Ndivyo Mbunge Anatakiwa Awe.Lakini Leo Kuna Wapuuzi Wachache Kama Lembeli Na Nashukuru Mungu Alivohama 10yrs Maendeleo Ya Jimbo Lake Hayafiki Nusu Hata Ya Joshua Nassari Ambaye Hata 5yrs Hajamaliza Halafu Still Kuna Wapumbavu Humu Wanamtetea Na Kulopoka Ujinga.Wewe Kama Mbunge Onyesha Nia Ya Kufanya Na Kutenda Kwanza,kila Mtu Angekuwa Anasimama Katika Nafasi Yake Mf.Kama Nassari Hizi Tuhuma Tuhuma Na Udhaifu Udhaifu Wa Kipuuzi Usingekuwepo...
 
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata zake...je hayo ndio mahitaji ya watu wa kahama?Mbunge wa Zamani mweshimiwa MLOLWA yeye alinunua vitanda kumi kwenye wodi ya wazazi" labour"kulingana na mahitaji yetu ya kipindi hicho.....MLOLWA alidraft program ya maji mji wa kahama.....MLOLWA amejenga mashule ya kata akishirikiana na Jumanne Nkadi Kishimba zikiwemo dispensari.....Je tunahoji,kwasababu Lembeli umeshindwa hata kununua vitanda vingine LABOUR kulingana na ongezeko la wazazi kwenye hospitali mpaka kufikia wazazi50 kwa siku,je unafaa kuendelea kuwa mbunge kwa awamu ya tatu?pia kahama tumekuwa na tatizo la umeme kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya umeme....mh.Lembeli hajafanya mpango wowote wa kujenga sub station mpya buzwagi ili kuweza kuunganishiwa umeme wa uhakika na badala yake Lembeli uliongoza malimbano na mgodi,je anafaa kuendelea kuwa mbunge?Lembeli umeshindwa kuomba mgodi ukujengee Hospitali ya kisasa mjini kahama badala yake umekuwa mtu wa kulalamika na kwenda CHILA CLUB...kuvinjari na mabinti wadogo.....je unafaa kuendelea kuwa mbunge?Lami iliyojengwa mjini kahama ni matunda ya Mh.Benson Mpyesa ambae ni mkuu wa wilaya ya kahama,je wewe Lembeli endapo utashindwa ubunge tutakumbuka kwa lipi mjini kahama?
Ndiyo post yako ya kwanza kwa hiyo nakusamehe kwa utumbo wako huu
 
Lembeli anamtihani sana
Mkuu MOTOCHINI habari! Tukiacha mambo ya ushabiki, wiki iliyopita nilikuwa Kahama kwa shughuli zangu na jioni katika mapumziko yangu nikawa nadadisi yanayoendelea. Mtoa mada nadhani kaandika kwa ushabiki tuu. Pengine Lembeni hajafanya ya maana lakini ni kuwa mtandao wake wa ushindi ni mkubwa na aliyekuwa tishio kwake be Kishimba (Imalaseko)amekata tamaa baada ya kujua chama CCM kilimuhitaji kwa ajili ya Pesa sake na sasa gharama zote kabeba yeye hata zile za mgombea urais alipokuja wakamuachia. Anajuta kukubali wakati hapati msaada toka wa watendaji wa chama
 
Last edited by a moderator:
yani umejiunga jana 30th september na hii ndio post yako ya kwanza, tukisema umekuja kimkakati kusaidia chama chako mfu ntakuwa nimekosea?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom