kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
Katika mkutano wa juzi wilayani kahama mh. lembeli alishindwa kabisa kuzungumzia yaliyojiri bungeni na kukazania kumsapoti Kisandu kwa hoja ya kukwepa majukumu yake na kuwakandamiza madiwani.
Kabla ya mkutano alisikilizishwa hotuba recorded ya Deo Kisandu alipokuwa anazindua kitabu wilayani hapo ambapo hotoba hiyo kisandu aliungwa mkono na wanakahama na kumdai asigombee urais bali aanze na ubunge kwanza.
Baada ya kuiisikiliza ndipo aliposhauriwa akomae na madowani tayari njia ni nyeupe la sivyo dogo akija atachukua jimbo.
Katika hatua ingine lembeli alimnadi mti mmoja kuwa atagombea ubunge jimbo la ushetu kwa CCm hali hiyo iliwauzi wanancho.
Hata hivyo Kisandu ameshasema hataki ubunge.