analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 729
- 612
Kauli hii imetolewa hivi punde na mh.G.Lema (mb). Amesisitiza kuwa Ngonjera hii ya fedha za Uswisi ni lazima ifike mwisho, kwa kutaja wezi na kuchukuliwa hatua. Anasema yeye haitaji immunity kumtaja mwizi. Pia amesisitiza kuwa majina hayo apewe AG, na kama AG hayahitaji hayo majina basi ni miongoni mwa walioficha pesa Uswisi.