Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

Status
Not open for further replies.

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Kauli hii imetolewa hivi punde na mh.G.Lema (mb). Amesisitiza kuwa Ngonjera hii ya fedha za Uswisi ni lazima ifike mwisho, kwa kutaja wezi na kuchukuliwa hatua. Anasema yeye haitaji immunity kumtaja mwizi. Pia amesisitiza kuwa majina hayo apewe AG, na kama AG hayahitaji hayo majina basi ni miongoni mwa walioficha pesa Uswisi.
 
Halafu mbona anachangia muda wote huku ameinama na ameshikilia meza? Anafananisha na nini?
 
Mh. Lema akichangia taarifa ya kamati ya sheria na katiba muda huu amemtaka Mh.Zitto kumkabidhi AG majina ya watu walioficha fedha Uswis ambayo alisema anayo kama ameshindwa kuwataja.Hata hivyo kasema kama Zitto na Serikali wanashindwa kuwataja wezi hao,wampe yeye 'Lema'majina hayo awataje.ameongeza kuwa hatahitaji kinga yeyote kuwataja wezi hao walioficha fedha Uswis ndani ya bunge au nje ya bunge.
 
Halafu mbona anavyochangia anaangalia chini tu? Anaogopa nini kuangalia mbele?
 
Kauli hii imetolewa hivi punde na mh.G.Lema (mb). Amesisitiza kuwa Ngonjera hii ya fedha za Uswisi ni lazima ifike mwisho, kwa kutaja wezi na kuchukuliwa hatua. Anasema yeye haitaji immunity kumtaja mwizi. Pia amesisitiza kuwa majina hayo apewe AG, na kama AG hayahitaji hayo majina basi ni miongoni mwa walioficha pesa Uswisi.

Kichwa cha mendawazimu hicho ni mzee wa kukurupuka ,kiakili tu fananisha hutuba ya zitto na lema,
 
Mh. Lema akichangia taarifa ya kamati ya sheria na katiba muda huu amemtaka Mh.Zitto kumkabidhi AG majina ya watu walioficha fedha Uswis ambayo alisema anayo kama ameshindwa kuwataja.Hata hivyo kasema kama Zitto na Serikali wanashindwa kuwataja wezi hao,wampe yeye 'Lema'majina hayo awataje.ameongeza kuwa hatahitaji kinga yeyote kuwataja wezi hao walioficha fedha Uswis ndani ya bunge au nje ya bunge.

Huyu anautafuta umaarufu tu,kwann asiyatafute mwenyewe na akafanya anavyosema??? Mpaka asubiri ZZK amtafutie?? Shame on him
 
Suala la pesa za Uswisi Zitto anafanya unafiki huku akiona ni njia ya kujipatia ujiko wa kisiasa

Kwa nini asiwataje hao watu ili waitwe wathibitishe uhalali wa ukwasi huo??!! Si ni huyu Zitto aliahidi atawataja au ndio alisahau na unafiki???!!
 
  • Thanks
Reactions: MKL

Sasa bunge limeisha wewe? Mbona kama hamuelewi nyie, tatizo mnaongozwa na akili ndogo za lema
 
Mimi sio fan wa Lema ila wakati mwingine namkubali sana hasa kwa kauli yake ya kuwa yeye hataki immunity nimeipenda
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom