Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Tunamfuatilia Kila mtanzania kwani fikra chanya hazina Chama,Ila kwa sasa Lembrus ndio anatamba shahidi mwaminifu anaeweza kusimamia anacho kiamini na si mnafiki Kama walivyo watz wengi sasa hivi, anaeweza kumtizama pilato huku akiwa kizimbani na kusema yeye anataka haki itedeke na asiye fanya Hilo Ni wa mchongo hata Kama Ni pilato.

😆😆😆 Nimeipenda Sana hiyo Ana uthubutu Kama paka mweusi kutembelea madhabahu mchana na waumini wapo.
 
Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Unajiona special ila ukweli wewe ni wakawaida tu. Ngoja nikwambie kwanini, wewe ni mtu usiye na msimamo na siku zote asiye na msimamo ni yule asiye jiamini.

Maisha tunapita hivyo fanya jambo kuwatetea wanaoonewa na sio kuwapamba na kuwatukuza wenye Mamlaka ya Dunia hii.

Hivi umeshajiuliza miaka mitano ijayo utakuwa wapi? (Nakuombea maisha marefu) ila nyakati hizi ni ngumu na chochote chaweza tokea kwenye maisha yetu. Kama hatunauwakika wa kuwa wazima ndani ya miaka michache tu ijayo kwa nini tusiishi kwa kutenda mema?

My brother Paskali badilika na tumia kalamu yako vyema kuwatetea wanaoonewa kwani maisha uliyoyaishi ni marefu kuliko muda ulioubakiza
 
Hiki hapa?
20210911_094721.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ushawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!
CCM hii imeshaturudisha utumwani tayari

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini...
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?.
Haya endeleeni....
Hayo mambo mawili makubwa yaliyokuja kudhihirika kuwa kweli si haba kwa umri wa Lema.

Kuna watu wazima zaidi ya Lema hawajawahi kuonesha jambo lolote la maana.

Kumpuuza Lema ni kutoutendea haki uwezo mkubwa wa kujenga hoja aliyoonesha alipokuwa bungeni
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Kwa sababu ya chuki zako binafsi kwa Lema ndio maana unakumbuka hayo mawili tu, tena kwa kejeli, hivi wewe na Lema wote mkifa leo ni nani kati yenu ataacha legacy kwa taifa? Kwa CV Lema anakupita kwa mbali sana,maana yeye alishinda ubunge kwa vipindi viwili tena katika mazingira magumu ila wewe pamoja na kujipendekeza kwa mkuu wa mafisadi ulipata aibu ya karne. Mzee unazeeka vibaya
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Hayo mawili aliyotabiri kwa usahihi yanatosha tuendelee kumwamini......Kizazi cha nyoka mnataka ishara gani tena na ishara mmeshapewa. Lema angekuwa Muebrania angetosha kabisa kuwa Nabii
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Mayalla mbona kuna watu bado wanakusoma unachoandika pamoja na yooooote uliyowahi yasema na kuyafanya? ndo maisha yalivyo nawe watu kama bado wanakusoma.... ushukuru Mungu tu.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Mkuu ""Njaa"" Mayala umeshawahi kusikia "".....Lack of objectivity & particularity'' ???? au term la filosofia LOGIC???? uemeamua kutia mfukoni AKILI....

hiyo uliyoifanya ni FALACY OF Ad Hominem , inayohusu PERSONAL ATTACK badala ya hoja.

argue against the point not the giver of point.
 
Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi tungo tata zinafikirisha sana.

Je, Lema anapeleka huo ujumbe kwa bwashee gani?

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Mayala ilikuwaje ILE ISSUE YA YULE HOUSE GIRL ?

NI HALALI MTU KUJITWALIA HOUSE GIRL KUWA MKE????
Ukinijibu hapo tutaendelea kujadili ISSUE YA LEMA ambaye unasema hapaswi kusikilizwa....

KARIBU KWA POVU....
 
Mkuu ""Njaa"" Mayala umeshawahi kusikia "".....Lack of objectivity & particularity'' ???? au term la filosofia LOGIC???? uemeamua kutia mfukoni AKILI....

hiyo uliyoifanya ni FALACY OF Ad Hominem , inayohusu PERSONAL ATTACK badala ya hoja.

argue against the point not the giver of point.
Huyo siku hizi hana tofauti na kibajaji, black label zinamkataa anajilazimisha tu kunywa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom