Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Akihutubia mkutano wa hadhara leo tindigani Arusha.Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amewatupia lawama viongozi wa dini kwa kuwa waoga hata pale wanapoona katiba na sheria za nchi zinakanyagwa wazi wazi.
Lema ameenda mbali na kusema kama viongozi hao hawatabadilika na kuendelea kuwa waoga na wanafiki atafungua kanisa lake na kuliita Godbless lema church!
Amesisitiza haiwezekani viongozi wa dini wanahubiri mbiguni kuna barabara ya dhahabu lakini wao wanakuwa waoga kwenda kuipita barabara hiyo.Asemema viogozi wa dini wamekuwa waoga na uoga ni dhambi mbaya zaidi.